Mkenya Michael Kojo amewasilisha hoja mahakamani

  • | Citizen TV
    996 views

    Hoja imewasilishwa mahakamani kutaka kuondolewa afisini kwa jaji mkuu Martha Koome kwa madai ya kuvunja sheria katika uteuzi wa wanachama wa jopokazi linaloshughulikia kesi za rufaa kuhusiana na maswala ya ushuru