Mkenya wa kwanza aliyefariku kutokana na COVID 19 Azikwa Kibomet

  • | West TV
    Mkenya wa kwanza aliyefariki kutokana na COVID-19 amezikwa nyumbani kwake Kibomet Trans Nzoia katika hafla iliyohudhuriwa na watu wachache wa familia na maafisa wa afya walionyunyiza dawa katika sehemu kubwa ya pahali pa maziko