Mkewe dereva wa teksi Evans Moracha azuiliwa siku saba zaidi

  • | Citizen TV
    1,956 views

    Mkewe dereva wa teksi Evans Moracha aliyetoweka siku 12 zilizopita, Teresa Kerubo, ataendelea kuzuiliwa kwa siku saba kuruhusu polisi kukamilisha uchunguzi