Mkewe Gachagua asema makanisa hayafai kuhukumiwa

  • | Citizen TV
    9,231 views

    Mkewe Naibu Rais Rigathi, Dorcas Gachagua amevunja kimya chake kuhusu itikadi za kidini akisema kuwa makanisa hayapaswi kuhukumiwa kwa sababu ya makosa ya viongozi wachache wa kidini.