15 Sep 2025 1:23 pm | Citizen TV 286 views Duration: 1:09 Mkewe naibu rais daktari Joyce Kithure, amewahimiza wakenya kuendelea kupanda miti ili kulinda mazingira dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi.