Mkewe rais Rachel Ruto azindua malori 30 ya chakula cha msaada

  • | Citizen TV
    1,035 views

    Mkewe rais William Ruto, Racheal Ruto, amezindua malori thelathini ya chakula ambayo yatasambazwa kwa waathiriwa wa njaa katika kaunti tisa zilizoathirika zaidi.