Mkimbizi aelezea mshahara wa mkewe ulivyowasitiri

  • | VOA Swahili
    229 views
    Mkimbizi Safari Sebunyenzi aeleza namna alivyokimbia vita na kuendelea kutafuta hifadhi ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, akihofia kukimbilia nchi nyingine kwa sababu ya usalama wake na familia yake. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.