Mkono uliokatika warejeshwa na kupata nafuu

  • | K24 Video
    Aliyetibiwa ni kijana wa darasa la pili kwa jina Benevolence, aliyepata ajali katika shughuli ya kukata majani ya ng'ombe nyumbani kwao, ajali iliyopelekea kuupoteza kipande cha mkono wake. hata hivyo sasa anaonekana kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta.