Mkulima ataka serikali kutoa suluhu ya ardhi ya utata ya ekari 250 Kiminini

  • | West TV
    20 views
    Mkulima mmoja kutoka eneo bunge la Kiminini ameitaka serikali kuingilia kati na kutoa suluhu ya mzozo wa ardhi la ekari 250 kati yake na muungano wa wakulima wanaodai kumiliki ardhi hiyo.