- 237 viewsDuration: 1:25Mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya bandari nchini kapteni William Ruto amekana madai ya ukosefu wa uwazi katika nafasi za kazi za halmashauri hiyo. Akiongea katika makao makuu ya bandari huko mombasa wakati wa kutoa chakula cha msaada kwa jamii ya waislamu , kapteni Ruto amesema kuwa watu zaidi ya laki tano walituma maombi ya nafasi 296 ambapo bandari ya mombasa ilitumia mfumo wa teknolojia kujaza nafasi hizo chache.