Mkurugenzi wa afya asema 4 walifariki kwa ugonjwa wa kawaida

  • | Citizen TV
    596 views

    Wizara ya afya imesema bado inachunguza kiini cha vifo vya watu wanne, walioaga dunia kutokana na ugonjwa usiojulikana katika kaunti ya Mombasa.