Mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin aagizwa kufika mahakamani kueleza aliko Ndiang’ui kinyagia

  • | Citizen TV
    2,746 views

    Mahakama sasa inamtaka mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi Mohamed Amin kufika mbele yake siku ya alhamisi, kueleza aliko mwanablogu Ndiang'ui Kinyagia. Jaji Chacha Mwita ametoa maagizo haya akisema ni lazima DCI imfikishwe Ndiangui mahakama kwa hali yoyote aliyoko. Na kama Seth Olale anavyoarifu, idara ya upelelezi imeendelea kukana kujua aliko mwanablogu huyu