Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Renson Ingonga aagiza wandani wa Gachagua washtakiwe

  • | Citizen TV
    4,048 views

    Masaibu Ya Wandani Watano Wa Naibu Rais Rigathi Gachagua Yameendelea Kutokota Baada Ya Mkurungenzi Wa Mashtaka Ya Umma Renson Ingonga Kuagiza Washtakiwe Na Kosa La Kupanga Njama Ya Uhalifu. Ingonga Pia Ameagiza Polisi Kumfungulia Mbunge Wa Embakasi Central Benjamin Gathiru Mashtaka Ya Ulanguzi Wa Pesa.