Mkurugenzi wa zamani wa makavazi Mzalendo Kibunjia na wenzake washtakiwa kwa ufisadi

  • | KBC Video
    21 views

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa makavazi ya kitaifa humu nchini Mzalendo Kibunjia na maafisa wa usimamizi wa asasi hiyo wameshtakiwa kwa ufujaji wa shilingi milioni 441. Kibunjia alikamatwa hapo jana na maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC pamoja na washukiwa wengine watatu na akakesha katika kituo cha polisi katika jumba la Integrity Centre kabla ya kufikishwa katika mahakama ya milimani kwa tuhuma za ufisadi hii leo. Huu hapa mseto wa taarifa kutoka mahakamani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive