Mkutano kuhusu mishahara yaendelea kwa siku ya pili hii leo

  • | Citizen TV
    148 views

    Kongamano la kitaifa kuhusu mishahara linaendelea kwa siku ya pili hii leo hapa nairobi. mkutano huu unaangazia mikakati kuhusu mishahara. Hapo jana, serikali ilitangaza kuwa hakuna nyongeza kwa wafanyakazi wa umma kwa kuwa kiwango cha malipo kimezidi kilichotengwa kisheria