Mkutano unafanyika kwenye makao rasmi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    1,874 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua kwa sasa anaongoza mkutano kuhusu wa pamoja wa idara za serikali kuhusu mipangilio ya bajeti na maswala kwa kiuchumi.