Mkutano wa Azimio wa wabunge kufanyika kesho

  • | K24 Video
    71 views

    Kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa Opiyo Wandayi amethibitisha mkutano wa wabunge wa Azimio la umoja utafanyika kesho. mkutano huo unatarajiwa kuzungumzia masuala ikiwemo mswada tata wa fedha ambao wameupinga vikali, pamoja na mazungumzo ya pamoja ambayo yamesitishwa kwa sasa. Raila Odinga anatarajiwa kutoa mwelekeo wa muungano endapo mazungumzo hayo yatafeli. Hata hivyo duru zimearifu kuwa upande wa kenya kwanza umekubali. matawka ya Azimio kusitisha mchakato wa kusaka makamishna wapya wa IEBC.