Mkutano wa Benki ya Maendeleo Barani Afrika waendelea Nairobi

  • | KBC Video
    56 views

    Serikali inanuia kuwekeza zaidi ya shilingi bilioni 13 katika muda wa miaka mitatu ijayo ili kuongeza hisa za taifa hili na kiwango chake cha mikopo kwenye Benki Ya Maendeleo Barani Afrika, Benki yaAfrexim na Benki Ya Biashara Na Maendeleo. Haya yalisemwa na rais William Ruto leo wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa kila mwaka wa Benki Ya Maendeleo Barani Afrika jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive