Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 wamalizika Kinshasa

  • | VOA Swahili
    2,666 views
    Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 umemalizika Jumatano mjini Kinshasa, DRC ambapo zaidi ya mawaziri 60 wa mazingira kutoka nchi mbalimbali walikuwepo kwa siku tatu za majadiliano kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa. Uongozi wa Rais wa Kenya WilliamRuto kuondoa marufuku ya miaka kumi dhidi ya bidhaa za GMO umezua mjadala nchini. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.