25 Aug 2025 11:17 am | Citizen TV 532 views Duration: 2:02 Jumuiya ya Dir nchini Kenya imefanya mkutano wa mshikamano jijini Nairobi uliowaleta pamoja viongozi, wazee wanawake na wataalamu kutoka kaunti mbalimbali