mkutano wa kutafuta mwelekeo wa kubinafsishwa au kuuzwa kwa kiwanda cha Nzoia Sugar

  • | West TV
    57 views
    Mkutano wa washikadau wa sekta ya sukari kuhusu mchakato wa kukodi kiwanda cha sukari cha nzoia umeshuhudia hisia mseto huku serikali kuu kupitia waziri wa fedha njuguna ndung'u ikisisitiza kuwa ina mpango dhabiti wa kufufa viwanda vya kusaga sukari