Mkuu wa DCI atakiwa kumwasilisha mahakamani mwanablogu Ndiang’ui Kinyagia

  • | KBC Video
    28 views

    Mkurugenzi wa idara ya upelelezi Mohamed Amin,sasa anatakiwa kufika mahakamani baada ya kukosa kufuata maagizo ya mahakama ya kumfikisha mahakamani wakili aliyetoweka na mwanablogu Ndiang’ui Kinyagia leo akiwa hai au amefariki. Katika uamuzi wake leo Jaji Chacha Mwita alielezea wasiwasi wake kuhusu jinsi suala hilo linavyoshughulikiwa, akisema wapelelezi ndio waliokuwa watu wa mwisho kuonekeana katika makazi ya Ndiang’ui Kinyagia mtaani Kinoo kabla ya kutoweka kwake. Agizo hilo la mahakama linajiri huku mwanansiasa mmoja katika eneo la Limuru akiripotiwa kutekwa nyara jana jioni na watu wanaoamika kuwa maafisa wa polisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive