Mkuu wa Jeshi la Israel Herzi Halevi akutana na vikosi vya ardhini ndani ya Gaza
Mkuu wa Jeshi la Israel Herzi Halevi alikutana na vikosi vya ardhini ndani ya Gaza , Kwa mujibu wa taarifa yabjeshi la Israel.
"Tunakaribia kuharibu mfumo wa kijeshi uliokuwepo kaskazini mwa Ukanda wa Gaza. Tunakaribia kukamilisha , bado tuna mambo ya kumaliza lakini tunakaribia," Halevi aliwaambia wanajeshi wa Israel huko Gaza."
Nakala ya Video iliyotolewa na jeshi la Israel siku ya Alhamisi ilionyesha Halevi akikutana na makamanda wa jeshi wakitembelea ukanda wa Gaza. Hata hivyo Reuters haikuweza kuthibitisha eneo au tarehe ambayo video ilinakiliwa.
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
17 Aug 2025
- Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
17 Aug 2025
- A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
17 Aug 2025
- Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
17 Aug 2025
- How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
17 Aug 2025
- Court battles bleed billions from public universities
17 Aug 2025
- Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
17 Aug 2025
- Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
17 Aug 2025
- Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
17 Aug 2025
- PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
17 Aug 2025
- Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties