Mkuu wa mawazirI azidi kutetewa na viongozi wa chama cha ANC.

  • | West TV
    42 views
    Viongozi wanaoegemea mrengo wa ANC eneo la magharibi wameendelea kumtetea waziri wa maswala ya nje ya nchi ambaye pia ni mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi dhidi ya cheche kutoka kwa baadhi ya viongozi wanaomshtumu kwa kukosa kufanikisha maendeleo kwenye eneo hili licha ya kuwa na cheo kikubwa katika serikali ya rais William Ruto.