Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi asisitiza umuhimu wa ushirikiano wa serikali

  • | Citizen TV
    231 views

    Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri Musalia Mudavadi amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kati ya maafisa wakuu serikalini na Maafisa wa Utawala. Utafiti wa serikali ukiangazia uwepo wa takriban mashirika 400 ya serikali na taasisi zinazojishughulisha na kazi zinazoingiliana na kusababisha mzigo kwa wananchi.