Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi awarai vijana kudumisha amani na utulivu

  • | K24 Video
    48 views

    Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amewarai vijana kudumisha amani na utulivu hasa wakati huu ambao serikali inafanya marekebisho. Kulingana na mudavadi hakuna utawala usiofanya makosa huku akiipigia debe serikali ya rais ruto kwa kufanya juhudi za kuimarisha uchumi japo sio kazi rahisi. Mudavadi aliyeshtumu uhuni na utovu wa nidhamu ulioshuhudiwa wakati wa maandamano amesema vurugu hiyo inatishia upatikanaji wa ajira za kimataifa.