MKUU WA POLISI AMTOSA POLISI ALIYEMUUA GEORGE FLOYD KIZIMBANI

  • | VOA Swahili
    Waendesha mashtaka waliendelea kuwasilisha hoja yao jana Jumatatu katika kesi inayomkabili Derek Chauvin, afisa wa zamani wa polisi ambaye ameshtakiwa kwa kifo cha George Floyd, ambayo imeingia katika wiki ya pili. #DL #VOA