Skip to main content
Skip to main content

Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei ahimiza wananchi kujisajili kwa SHA

  • | Citizen TV
    193 views
    Duration: 1:37
    Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema kuwa serikali imetenga fedha za kuhakikisha kuwa wakenya wote waliosajiliwa kwenye bima ya afya ya SHA, wanahudumiwa ipasavyo.