Mkuu wa utumishi wa umma Felix koskei asema serikali itafufua kilimo eneo la Tana Delta

  • | Citizen TV
    189 views

    Kama njia ya kuongeza uzalishaji chakula humu nchini serikali kupitia Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei imeisihi sekta ya kibinafsi kuwekeza katika kilimo na uzalishaji wa chakula haswa mamlaka ya ustawishaji wa miradi ya mito Tana na Athi .