- 352 viewsDuration: 1:35Mkuu wa utumishi wa Umma Felix Koskei amesema kwamba ufisadi kwenye sekta ya Umma ni chanzo kuu cha uchumi wa taifa kutoimarika. Akizungumza kwenye uzinduzi rasmi wa mpangilio maalum wa miaka mitano wa tume ya mishahara nchini SRC, Koskei alishutumu utendakazi wa baadhi ya tume nchini ambazo hazitumikii Wakenya ipasavyo ilhali zinapokea mishahara mikubwa.