Mkuu wa Utumushi wa Umma Felix Koskei azuru KWS

  • | KBC Video
    51 views

    Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema taifa limepoteza asilimia 70 ya wanyamapori wake katika kipindi cha miaka 30 iliyopita kutokana na ujangili, uharibifu unaofanywa na jamii ,maafisa wafisadi, miongoni mwao walio chini ya ulinzi wa mashirika ya serikali. Koskei ambaye alikuwa katika ziara ya kujifahamisha na shirika la huduma kwa wanyamapori nchni KWS jijini Nairobi, alionya serikali haitalegeza kamba katika kukabiliana na wafisadi wanaoharibu mazingira na kuwatatiza wanyama nchini na hivyo kusababisha kuzorota kwa sekta ya utalii kutokana na usimamizi mbaya na uporaji wa rasilimali za umma. . Joseph Wakhungu na maelezo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News