Mlalamishi katika kesi ya ulaghai wa ardhi apinga hatua ya DPP kuondoa kesi hiyo mahakamani

  • | NTV Video
    44 views

    Mlalamishi katika kesi ya ulaghai wa ardhi amepinga hatua ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma kuondoa kesi hiyo katika mahakama ya Milimani akisema ni hatua yenye mapendeleo ilisukumwa na ODPP.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya