Mlanguzi wa bangi azuiliwa na polisi kufuatia msako dhidi ya matumizi ya mihadarati Kajiado ya kati

  • | KBC Video
    4 views

    Mlanguzi wa bangi mwenye umri wa miaka 21 amezuiliwa na polisi kufuatia msako dhidi ya matumizi ya mihadarati mjini Ilbisil Kajiado ya kati. Mshukiwa huyo alipatikana akiwa na misokoto 38 ya bangi. Chifu wa eneo hilo Leonard Musokoto alitoa wito kwa wazazi kuwawajibikia wanao ili kuwaepusha na matukio kama hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #dirayamagwiji