Hari Budha Magar alikatwa miguu yake yote miwili kuanzia kwenye goto mnamo mwaka wa 2010 baada ya kukanyaga kwa bahati mbaya kifaa cha kulipuka alipokuwa akihudumu katika kikosi maalumu cha jeshi 'Gurkha' nchini Afghanistan.
Brigedia ya Gurkhas ni jeshi maarufu la Nepali lililokuwa likipigana upande wa jeshi la Uingereza.
Sasa, akiwa na umri wa miaka 43, analenga kuwa mtu wa kwanza aliyekatwa miguu juu ya goti kupanda Mlima Everest mwezi Mei.
#bbcswahili #uingereza #everest
20 Aug 2025
- Speaking on Wednesday after a joint dialogue with the United Nations Development Programme (UNDP) on training and capacity building, IG Kanja emphasized that the National Police Service is fully in charge of security arrangements and expects “normalcy”…
20 Aug 2025
- Two people died on Wednesday while three others sustained serious injuries in a tragic road accident near Ting’ Wang’i junction along the Siaya-Bondo road in Siaya County.
20 Aug 2025
- Mobility platform Bolt has launched a first-of-its-kind dash cam in Kenya in collaboration with AI-based mobility tech firm Driver Technologies, giving drivers access to advanced safety technology at 75% off premium.
20 Aug 2025
- Teresia Chepkemoi Chepkwony, a revenue collector, technician, and marketing assistant with the water company, was charged with forging a KCSE certificate bearing a C plus mean grade from Boron Secondary School on or about September 18, 2017, and…