Mlemavu anayecheza soka la kulipwa la magongo Uturuki

  • | BBC Swahili
    474 views
    Kutana na Mohammed Munga, mlemavu wa mguu kutoka nchini Kenya ambaye hali yake ya ulemavu imempa nguvu na ari ya kuwa mmoja wa wanasoka maarufu zaidi. Munga anayeichezea timu ya taifa ya Kenya ya wachezaji wanaotumia magongo pia anacheza soka la kulipwa nchini Uturuki katika club ya Depsas huko Uturuki. Mwandishi wa @bbcswahili @dzunguabdallaseif amezungumza na mchezaji huyo pamoja na familia yake na kuandaa taarifa hii. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #kenya #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw