Mlemavu gwiji wa kutengeneza magari

  • | BBC Swahili
    560 views
    Ken Cheruiyot ni Kijana wa miaka 19 kutoka Kenya ambaye tangu kuzaliwa amekuwa akitumia magoti yake kutembea kuutokana na ulemavu wa miguu alionao. Licha ya hayo Ken anafahamika kama fundi wa magari hodari sana hasa katika kurekebisha malori. Mwandishi wa BBC Anne Ngugi alimtembelea katika karakana yake Kaunti ya Bomet eneo la bonde la ufa nchini Kenya na kuandaa taarifa hii. 🎥 judith_wambare #bbcswahili #kenya #ulemavu