"Mlemavu hana shida yoyote na sisi tunaweza"

  • | BBC Swahili
    328 views
    Hortense Kavuo Maliro, 43, ni mwanamke wa kwanza na anayeishi na ulemavu kutangaza kwamba atawania urais wa DRC katika uchaguzi wa Desemba (12). 🎥 Frank Mavura #bbcswahili #DRC #uchaguzidrc