Mlima wa 'Muruankai' unapatikana Samburu Magharibi ambapo wakaazi wanaamini maombi yao yajibiwa

  • | Citizen TV
    232 views

    Jamii mbali mbali nchini kwa kawaida huenzi maeneo takatifu, wakiamini maombi yao yatajibiwa. Kwenye Mwenge wa Kaunti juma hili Mwanahabari wetu Bonface Barasa alifika katika Mlima wa "Muruankai" Samburu magharibi ambapo wakazi wanaamini Mwenyezi Mungu alipumzika hapo alipokuwa akiendelea kuumba mbingu na ardhi.