Mlinzi katika mkahawa mmoja mjini Webuye auawa na watu wasiojulikana

  • | Citizen TV
    404 views

    Mlinzi katika mkahawa mmoja mjini Webuye ameuawa usiku wa kuamkia leo katika tukio la kutatanisha. Wakaazi wanasema huyu ni bawabu wa tano kuuawa tangu mwaka jana katika kaunti ya Bungoma na sasa polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo.