Mlinzi na mfanyikazi mmoja wa mgahawa kaunti ya Murang’a waaga dunia kutokana na uvamizi

  • | KTN News
    459 views

    Mlinzi na mfanyikazi mmoja wa mgahawa katika kaunti ya Murang’a wameaga dunia kutokana na uvamizi uliofanyika usiku wa kuamkia leo. Wawili hao walikuwa mahali pao pa kazi walipovamiwa na wahalifu ambao inasemekana walikuwa zaidi ya wanane.