9 Jul 2026 10:44 am | Citizen TV 598 views Duration: 1:16 Mlinzi wa katibu wa wizara ya vijana, Rashid Charo, ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu ishirini huku wapelelezi wakiomba muda zaidi wa kukusanya ushahidi.