'Mlinzi wa mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe tumemkamata anachunguzwa' polisi Tanzania

  • | BBC Swahili
    Katika Dira ya Dunia Jeshi la uganda linawatafuta wafungwa 219 waliotoroka gerezani Na huko Tanzania, Polisi wamekiri kumkamata msaidizi wa mgombea kiti cha urais wa chama cha upinzani cha ACT wazalendo Bernard Membe #BernardMembe #Uchaguzi #Tanzania