- 9,918 viewsDuration: 16sTazama namna mlipuko mkubwa ulivyotokea katika kiwanda cha fataki nchini Malta. Wanaume wawili waliokuwa kwenye mashamba ya karibu wakati wa mlipuko huo huko Naxxar walikimbizwa hospitalini wakiwa na majeraha madogo, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi la Malta. #bbcswahili #malta #viraltiktok Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw