Mlipuko wa Ugonjwa wa macho wa Conjunctivitis

  • | BBC Swahili
    1,297 views
    Ugonjwa wa macho unaojulikana kama Conjunctivitis, ama jicho jekund umeripotiwa katika baadhi ya maeneo Afrika Mashariki ikiwemo Dar es Salaam Tanzania, Mombasa na Kwale katika Pwani ya Kenya. Wengi wa wale wanaougua ugonjwa huu wanakuta macho yao yakiwa mekundu, na yakitoa machozi pamoja na uchafu, huku wagonjwa wengi pia wakilalamikia kuumwa na kichwa. Sasa ugonjwa huu unaambukiza vipi? Na unapaswa kufanya nini ili kujizuia usikupate? Huyu hapa Isabella Mwagodi na majibu ya maswali hayo... #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw