- 6,935 viewsDuration: 31sTazama dirisha la gari hili lilivyovunjika baada ya wimbi la milipuko lililosababishwa na mashambulizi katika mji wa Karaj nchini Iran, huku Marekani na Israel wakiendelea na mashambulizi yao dhidi ya nchi hiyo. #bbcswahilii #israel #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw