Mmiliki wa baa iliyouza pombe haramu akamatwa

  • | Citizen TV
    1,427 views

    Polisi katika eneo la Kirinyaga wamemkamata mmiliki wa baa iliyouza pombe ambayo imewauwa zaidi ya watu kumi. John Muriithi Karaya alikamatwa hii leo huku wapelelezi wakiendelea na uchunguzi kuhusu tukio hilo ambalo pia limesababisha watu kadhaa kupoteza uwezo wa kuona.