Mmiliki wa kituo cha gesi cha Embakasi aachiliwa kwa dhamana

  • | KBC Video
    102 views

    Derick Kimathi Nyamu ambaye ni mmiliki wa kituo cha kujaza gesi cha Maxxis Energy jijini Nairobi ambapo mlipuko wa gesi ulitokea na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 10 huku wengine zaidi ya 300 wakijeruhiwa mapema mwezi huu, ameachiliwa kwa bondi ya shilingi milioni mbili. Hakimu mkuu mwandamizi Dolphina Alego alikataa ombi la upande wa mashtaka la kutaka kuendelea kumzuilia kwa siku 14 zaidi. Hatua hiyo inajiri huku ombi likiwasilishwa katika mahakama ya milimani kutaka fidia kwa mamia ya wakazi wa eneo la Mradi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive