Mmiliki wa kiwanda cha gesi chenye utata ajisalimisha kwa polisi

  • | K24 Video
    54 views

    Mmiliki wa kiwanda cha kujaza gesi ambacho kililipuka wiki iliyopita na kupelekea watu sita kupoteza maisha na mamia kujeruhiwa, hatimaye amejisalimisha kwa polisi kituo cha Embakasi polisi nao wanaendelea kuwafuatilia watuhumiwa wanaohusishwa na mkasa huohaya yanajiri huku hofu ikizidi kutanda miongoni mwa wakaazi leo baada ya kukurupuka kufuatia kuhisi harufu ya gesi