Mmiliki wa kiwanda cha gesi Embakasi kusalia korkoroni

  • | Citizen TV
    727 views

    Mmiliki wa kiwanda cha gesi katika eneo la mradi, Embakasi atasalia rumande kwa siku 21 zaidi uchunguzi wa tukio hilo la wiki iliyopita unapoendelea. Mahakama ya milimani pia iliamuru washukiwa wawili zaidi, ambao ni maafisa wa mamlaka ya kuhifadhi mazingira nema kuendelea kuzuiliwa kwa kipindi hicho