Mmiliki wa klabu ya Rixxos mjini Kitengela atafutwa na polisi

  • | Citizen TV
    1,018 views

    Mfanyikazi wa eneo la burudani la Rixxoa huko Kitengela anayedaiwa kudhulumiwa na mwajiri wake ameandikisha taarifa na polisi. Mwathiriwa huyo pamoja na wenzake watano walifika kituoni Kitengela na kuelezea maafisa wa polisi yaliyojiri siku ya jumanne wiki hii ambapo mzozo ulitokea. Kama anavyoarifu Ben Kirui, Klabu ya Rixxos imejitetea ikisema tukio hilo lilichochewa na wafanyikazi ambao walivamia klabu wakidai malipo yao.